π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni mwaka juzi, ilikua likizo, sasa nimetokaa home, niko mtaan naenda town centre. Si nkaona km sehem panauma usoni, kugusa hivi km kipelee, nkasogea nyumba ya mtu yenye tinted ili nijikamue huku naangalia.
Ile najikamua had nkamaliza, mara dirisha linafunguliwa, mtoto anasema Poleee. Aseeh nlistuka na kusikia aibu.
Sema alikua mtoto, sio mbaya sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shangazii niliaibikaa mwenzio, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anataka kuwa miss.Michezo ya binti mmoja hapa nyumbani anajikenulisha,mara anaanza kutembea ki miss, dirisha la sebuleni hivyo,sijui anawazaga nini!
ππππ Hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anataka kuwa miss.
Hatareee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Hatari