Nimeipenda hiikusema ukweli huyu mwanamke ninaye ishi nae nilimchukulia kwa dada yake na kuamua kuanza maisha na yeye basi bhana ilitokea msiba nyumbani kwao ikabidi tuende wote,
na baada ya msiba kuisha ikabidi mambo mengine yaendelee ikiwepo kikao kuyahusu maisha yangu na yeye
lakini kwa busara zao wakaniambia niende nikapambane siku nikipata kidogo niende nacho ili wakanitajie rasmi kiasi cha mahari,
Kama hutoi mahari wanachukua mtoto wao eeeh itakuaje hapo..!?Mahari imepitwa na wakati.
Inashusha utu wa mwanamke, inamfanya mwanamke awe ananunuliwa kama ng'ombe.
Kitu muhimu watu wajenge familia tu.
Hiyo familia ya huyo mwanamke imeelewa hilo.
UmeoaHebu tuchunguze kwa makini "mahari ni lazima?" Ni sawa na kumuuza mtoto wa kike ambae itabidi awe kama chombo kwa jamaa.
Mpaka hapo utakuwa umekosea kuchunguza ukoo.Kama utoi mahali wanachukua mtoto wao eeeh itakuaje hapo..!?
Lipa mahari Linda heshima ya mwanamke na familia yake..Mpaka hapo utakuwa umekosea kuchunguza ukoo.
Huo ukoo maskini na haujasoma, ikitokea hivyo utakuwa umejipunguzia matatizo makubwa zaidi baadaye.
Kulipa mahari hii ya mara moja ni kuondoa heshima ya mwanamke na familia yake.Lipa mahari Linda heshima ya mwanamke na familia yake. .
Huu uzungu ndo unawaponza wengi, mila na desturi zetu ziheshimiwe...Mahari imepitwa na wakati.
Inashusha utu wa mwanamke, inamfanya mwanamke awe ananunuliwa kama ng'ombe.
Kitu muhimu watu wajenge familia tu.
Hiyo familia ya huyo mwanamke imeelewa hilo.
Siyo tembea ufike?Sogea tukae
Mahari ni Utamaduni ,ina maanisha usione vyaelea vilitunzwa mpaka unakutana nae, alizaliwa akalelewa alisomeshwa aliuguzwa alipoumwa akakua akasaidiwa aanze maisha Sasa wewe unakutana nae yupo ready na maisha labda kaanza kujitegemea na wewe tayari umeanza kujitegemea ni rahisi kusema mmependana muanze maisha pamoja.Kulipa mahari hii ya mara moja ni kuondoa heshima ya mwanamke na familia yake.
Mahari ni bei ya kumnunua mwanamke. Ukilipa mahari, unachosema ni kwamba huyu mwanamke thamani yake ni hii. Nalipa nimchukue. Umemfanya kawa kama ng'ombe.
Unaweza kulinda heshima ya mwanamke na familia yake kwa kukaa naye mpaka kifo kiwatenganishe.
Unaweza kulinda heshima ya mwanamke na familia yake kwa kuzaa naye mtoto.
Na kama material thing is your measure, unaweza kulinda heshima ya mwanamke na familia yake kwa kumpeleka shopping ambayo ni zaidi ya hiyo mahari kila mwezi.
Yani ni hivi, unakataa kulipa mahari mara moja, unalipa mahari kila mwezi kwa kuelewa umuhimu wa huyo mwanamke.
Akitaka dhahabu unambebesha mpaka anasema hizi nzito sana siwezi kuvaa wewe mwanamme utaniumiza. Yani dhahabu kubwa mpaka masikio yanataka kukatika, anaomba poo mwenyewe.
Akitaka nguo unamuachia mwenyewe achague anavyotaka.
Mahari hapo inakuwa endelevu, kama ilivyo ndoa.
Unajenga naye nyumba ya maana mnamiliki.
Unamnunulia latest cars, akiendesha anajisikia anamiliki barabara.
Yani bei ya BMW moja tu unal9mnunulia ni mara 10 ya mahari unayoambiwa kulipa mara moja.
Ukitoa mahari mara moja unakuwa kama umemnunua ng'ombe.
Nikikupa mfumo huo wa mahari utauonaje?
Utauweza? Utaupenda?