Wale ambao tunapenda sifa za kijinga tukutane hapa

Wale ambao tunapenda sifa za kijinga tukutane hapa

Alosto

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
366
Reaction score
352
Tunaopenda kiki na sifa za kijinga tukutane hapa tupeane mbinu mbalimbali za kupata kiki zaidi na kusifiwa sifiwa.
 
Tunaopenda kiki na sifa za kijinga tukutane hapa tupeane mbinu mbalimbali za kupaka kiki zaidi na kusifiwa sifiwa.
Hampo labda mmelala mapema ila wewe sijuhi kwa nn bado uko macho
 
Hivi neno mbululaz bado linatumika?

Suddenly, kichwa cha habari kimenikumbusha neno hilo.
 
Back
Top Bottom