Wale ambao wadogo zetu wameoa cc kaka zao bado tukutane hapa

Wale ambao wadogo zetu wameoa cc kaka zao bado tukutane hapa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Bila kupoteza muda wale memba wenzangu wa jf ambao wadogo zetu wameoa cc kaka zao na Dada zao hatujaoa wala kuolewa tukutane hapa tufarijiane
 
vunja mifupa kama meno hipo.wakichoka wadangaji tutakutana nao nyumba za ibada wapate nafasi hiyo na wale taa za umri zikiitika kwa wakati
 
vunja mifupa kama meno hipo.wakichoka wadangaji tutakutana nao nyumba za ibada wapate nafasi hiyo na wale taa za umri zikiitika kwa wakati
Nimechekaje ho ho ho ho
 
Mm ndo nilianza kupata mwenzangu baadae madogo na wao wamefata nyayo zangu
 
Back
Top Bottom