Wale backbenchers darasani tukutane hapa!

Wale backbenchers darasani tukutane hapa!

Nikikaa mbele sielewi kabisa.

Miaka yote nimekua nikikaa huko back bencher na sikuwahi kufeli mtihani.

Nilifanya vizuri tu. Na uongozi wa shule nilipata, time kepeer, kuranja wa elimu na sekondari academic prefect.
 
Back bencher msinziaji mkuu wa darasani muda wote nasinzia tu
Hapa nahisi nililogwa. Mpaka nikapata na cheo Cha uenyekiti.....ila nilikuwa nawakimbiza mchakamchaka hawapoi. Sikuwa naangalia jinsia nikiamua kushika namba 1 nashika. Kuna kipindi ilikuwa ili wajue mtu wa kwanza amepata ngapi lzm waone kwanza Pepa yangu.

Na siku nikisema leo ngoja nisome watafumuka kila mtu na daftari wakasome maana sio kawaida kuniona nasoma soma nikiendelea kuandika humu Kuna mtu atanitaja.

Ila Sasa.....kwenye maisha sijui hata nimefanya nini maana life langu liko kawaida sanaaaa

Wengi waliofeli kabisaa ndo wenye utajiri mkubwa....

Wale waliofaulu wana maisha ya kawaida .
 
Backbencher [emoji116][emoji116]
1686340263362.jpg
 
Back
Top Bottom