wale BHRM tuliokosa Hostel za ndani Mzumbe

wale BHRM tuliokosa Hostel za ndani Mzumbe

myfun

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Jamani wale tuliochaguliwa BHRM na tumekosa hostel za ndani Mzumbe tuwasiliane tujue nn cha kufanya mapema maana hostel za nje ni gharama balaa nicheck kwenye no.0786302961
 
ss mkuu tufanyeje?manake haieleweki huku wengine tulilipia pesa ya accomodation na vyumba hatujapata sijui utaratibu huu ukoje:spy:
 
Japokuwa kwenye joining instruction zao walisema usilipie chumba mpaka uhakikishe umekipata kwanza sasa kama umelipia na chumba haujapata sijui inakuwaje hapo
 
nimetoka huko leo, kinachohitajika ni kufuatilia vizuri kwani nimeongea na mhusika akadai kwa wale wote waliochaguliwa TCU watapata hostel.
 
nimetoka huko leo, kinachohitajika ni kufuatilia vizuri kwani nimeongea na mhusika akadai kwa wale wote waliochaguliwa TCU watapata hostel.

acha uongo wewe,umekosa tafuta wenzio wakubebe,wa tcu nyie n nan mpaka mpewe rum?hujuh kuwa kuna 2nd yr?
 
Kama umekosa kuna fomu ya hostel za nje,au ka vp unaomba wenzio wakubebe
 
Cha umuhimu hapo ndugu zangu ni kubebana tu maana hizo hostel za nje ni gharama kishenzi kama kuna rafiki yako muombe akubebe mtachangia wote gharama maisha yenyewe haya yashakuwa magumu
 
Mmhhhhhhh,mkakae changalawe kule mle madege vizuri na watoto wataongezeka majina yao utasikia hrm,psm,pub,qms n.k
 
kwa wale mliokosa accomodation,kilichopo ni kwamba mnapaswa kutafuta watu wa kuwabeba kwani ndio desturi ya mzumbe kwa mwaka wa kwanza kubebana hususani semester ya kwanza .Jambo ajingine ni kuwa, kama ulilipia chumba lakini mwisho wa siku ukakosa hutapaswa tena kulipia accomodation semester ya pili bali pesa unayodai ndio itakoyotumika kulipia acc kwa semester ya pili,muhimu ni kutunza receipt inayoonyesha kuwa ulilipia accomodation semester iliyopita
 
acha uongo wewe,umekosa tafuta wenzio wakubebe,wa tcu nyie n nan mpaka mpewe rum?hujuh kuwa kuna 2nd yr?

weweee mi nshamaliza, na kwa taarifa yako nawafanyia mwaka wa kwanza registration
 
Back
Top Bottom