Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Watu wakaoga mamikojoo weee🤣🤣, sijui huko wanaendeleaje
Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
Mara sijui akashinda bet ya milioni 250 , aisee wabongo 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Umeamka na mikono ya watu?
Wimbi la viazi🤣🤣🤣🤣
Humu hata ukidangaya watu kuwa ukila mavi unasahaulika na mdeni, watu wanafanya hivyo 🤣
Kuna ubwege sana huku ndani 😂😆😆😆🤣🤣🤣🤣
Humu hata ukidangaya watu kuwa ukila mavi unasahaulika na mdeni, watu wanafanya hivyo 🤣
CrapMkojo ni dawa
Nitakupa ushuhuda niliosha tunda kwa maji yenye Kemikali sikujua kama yanakemikali nilipolila lile tunda tumbo lilianza kuniuma kila baada ya dk 1 then linapoa nilichofanya nikachukua Kifuniko cha chupa ya maji nikakojoa kisha nikanywa aisee lile tumbo liliacha kabisa kuniuma, nikagundua kuwa yale maji niliyooshea lile tunda huenda yalikua na Sumu