Wale jamaa "USHAHIDI: JINSI MKOJO WANGU WA ASUBUHI ULIVYONIPONYA" waliishia wapi

Mkojo ni dawa
Nitakupa ushuhuda niliosha tunda kwa maji yenye Kemikali sikujua kama yanakemikali nilipolila lile tunda tumbo lilianza kuniuma kila baada ya dk 1 then linapoa nilichofanya nikachukua Kifuniko cha chupa ya maji nikakojoa kisha nikanywa aisee lile tumbo liliacha kabisa kuniuma, nikagundua kuwa yale maji niliyooshea lile tunda huenda yalikua na Sumu
 
🀣🀣🀣🀣

Humu hata ukidangaya watu kuwa ukila mavi unasahaulika na mdeni, watu wanafanya hivyo 🀣
Kuna ubwege sana huku ndani πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Crap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…