MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Siku hizi inawakuta Bar wanauza Pombe na Mbunye kwa pamojaUnatoka kwenye ndoa kwa mbwembwe kwamba unakwenda "kutafuta maisha", halafu mala pap! Ex-mume wako anakukuta mtaani umejitwisha deli la matikiti unatembeza, unakula jua lako na mvua yako. Raha zote za nyumbani ukazikimbia ukachagua pambano la matikiti barabarani!
Kuchoma kitumbua kuliko kuumiza kitumbua!!!Hakuna mtu anaweza kuacha raha akachagua tabu, ni vile hizo raha zinakuja na gharama kubwa mtu anaona bora akateseke tu kuchoma vitumbua
π€£π€£ MkuuKuchoma kitumbua kuliko kuumiza kitumbua!!!
Hakuna mtu anaweza kuacha raha akachagua tabu, ni vile hizo raha zinakuja na gharama kubwa mtu anaona bora akateseke tu kuchoma vitumbua
Kuchoma kitumbua kuliko kuumiza kitumbua!!!