Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Dem akikwambia mtumie nauli mwambie unamfat ww na usafr uone km hajazuga hpo
 
Shunie hachelewi kulia huyu....

Halafu simpendii siku hizi
hahahhh lini uliniona nalia
we kama haunipendi mm nakupenda tu shemeji yangu Daby kwa husna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…