Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
cha bure ni salaam peke yakeNa wewe unasema hamna cha bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cha bure ni salaam peke yakeNa wewe unasema hamna cha bure
Mimi nakupwa tu bwana za buretakiiiiiii aogopa ata zako we si mwanaume
espy simtaki huyo ata kumuonaHebu mtongoze shunie basi.
Mi nina sababu za kuhakikisha situmi hela hata iwejeHizo mnawadanganyiaga watoto, mie mtu mzima, its either utume pesa au useme huna, of which ukisema hauna unajua matokeo yake, kwahiyo bora utume tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Panya au?
Huyo sio kiboko yake tena. Hata wewe umethibitisha.haniogopi mm anamuogopa kiboko yake anaitwa husna
Tulia bwana.Umekubali kutuma kweli wahenga hawakukosea hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Wachaaa weee Tema mate chiniespy simtaki huyo ata kumuona
hahahhh lini uliniona naliaShunie hachelewi kulia huyu....
Halafu simpendii siku hizi
Ulimuonyesha alafu akakunyima?Shunie hachelewi kulia huyu....
Halafu simpendii siku hizi
Alikunyima nini?espy simtaki huyo ata kumuona
hapana aisee hizo za bure sitaki ata kuziona sijafanyia ata kazi kidogoMimi nakupwa tu bwana za bure
Sasa najua pesa haiwezi kununua upendo labda kama kuna kuuziana Nita mwambia atume pesa lakini kama ni upendo Nita mwambia alete zawadiYaani unamshauri anitumie nyimbo badala ya pesa!! Umesikia mie dj?
Usitume tu, watatuma wenzio.Mi nina sababu za kuhakikisha situmi hela hata iweje
alinionyesha niniUlimuonyesha alafu akakunyima?
[emoji57][emoji57][emoji57] kaonehahahhh lini uliniona nalia
we kama haunipendi mm nakupenda tu shemeji yangu Daby kwa husna
hajaninyima kitu mzigo wa husna huoAlikunyima nini?
Nimwonyeshe nini au umeanza tabia mbayaUlimuonyesha alafu akakunyima?