BabM
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 1,166
- 954
Hii biashara ya uliianza lini na ushatembea na wanaume wangapi mpaka sasaMi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara ya uliianza lini na ushatembea na wanaume wangapi mpaka sasaMi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.
baraka zote kanipaespy ameruhusu MO
Unafaa,hapana luckydube mm muoga na hela za watu
WapoooooWengine wamo humu
tehbaraka zote kanipa
unitafute unipeleke wapi tenaUnafaa,
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nikrudi TANZANIA ntakutafuta.
Ina TV ndaniBahili kama nini
Noma sana notedkama kichwa cha habari kinavyojielezea kwa ndugu zangu watumiaji wa mitandao ya kimahaba kama vile hitwe, Badoo, tizag,Instagram,whatsup etc hebu tupeane NONDO za maneno na kupeana ujuzi katika utongozaji .
Mimi kwa uzoefu wangu mitandao ya kimahaba nimetongoza watoto wengi wazuli wapo ambao nawapata wapo ambao nawapotezea ila changamoto ninazokutana nazo katika mitandao hii kama ifuatavyoo.
1.kuombwa hela ya kusuka au hela ya kulaa.
2.kuombwa hela ya nauli ya mdada kufika hapa nilipo.
3.kuombwa hela ndefu kama laki au laki mbili hivii. ......
Jinsi ya kudeal nao ni kama hivi .
1.Demu anayeniomba hela ya kusuka au hela ya kula ,
Huwa namuuliza uko wapi saivi , akisema nipo kimara au Sinza mi ntamjibu Mimi nipo karibia maeneo hayo vipi utakuwa sehemu gani nikupitishie au tuonane kituoni baada ya hapo nitasubilia atanijibu nini au atanibadilishia story . nikiona ananibadilishia story huwa nakausha coz huwezi mtumia hela MTU ambae hujawahi kumuona.
2.demu ambaye ananiomba nauli , huwa naamuliza uko wapi saivi akinijibu nipo mbagala mi ntamwambia Leo Nina safali ya kuja uko hivo ningependa tuonane huko huko hapo ntasubilia ajibu nini au atanibadilishia story nikiona atanibadilishia story huwa nakausha kwa maana huwezi tuma pesa kwa MTU ambae hujawahi kuonana naee.
3.demu ambaye ananiomba pesa kuanzia elfu 50 na kuendelea labda ana shida mi huwa namjibu ntakupa mwisho wa mwezi nikipokea mshaharaa baada ya hapo kabla ya mwisho wa mwezi katikati ya week moja nitamtongoza akikubali kesho yake nakula mzigo na baada ya mzigo nitamtoa 20 au 10 kama nauli ya kurudi anapoishi baada ya hapo mambo ya mwisho wa mwezi yatajulikana utakapofika mwisho wa mwezi .
Lakini ukiona umetongoza na demu anazingua KUTOA mzigo hiyo 50 basi ujue huyo alikuwa ni tapeli.........
Haya jamani tupeane nondo zaidi na changamoto za watoto mitandao ya mahaba
tena nyie mnaojifanyaga wababe humu jukwaani ndo mnaishiaga kushikia watu mapembe tu, hata kuchinja hamchinji na pesa zinawatoka vilevile, endelea kujifariji humu jukwaani coz huko kitaa wanawake tunawafanya kitu mbayaHamna kudanganyana hapa...Offline nitakupa pesa after MISSION COMPLETE.... Hamna cha bure hapa
Tutaonge haswa msimu huu wa mvuqteh
hapo sawa
Hata panton linapumzikaNdivyo mnavyosema!
Mkimalizana utume zile pesa.shunie ujue mimi nina shida na wewe
husna muba nahitaji busara zako haswa kipindi hichi cha mvuaDaby can you come zis way plz, kuna taa imeharibika nahitaji msaada wako.
Ndio nimemruhusu, naomba tu umkumbushe atume zile pesa.et umemruhusu [emoji23]
hahaha mm sitaweza mkumbusha sbbu nafasi ya kumuweka hamnaNdio nimemuhusu, naomba tu umkumbushe atume zile pesa.