Wale mabingwa wa kutongozana kwenye mitandao ya mahaba hebu tukutane hapa kupeana nondo

Mi siombagi hela mkuu!!! Ila mwanaume ashawai nilalamikia kwanini simuombi hela!!!? Alidhani kuna mtu mwingine pembeni.
Hii biashara ya uliianza lini na ushatembea na wanaume wangapi mpaka sasa
 
Akisema yupo kawe washa gari nenda,,mwambie njoo tulewe na wanavyopenda pombe dk sifur huyooo,tena mwambie aje na rafiki zake wawili na wao unachukua namba zao vile vile
 
Haaaa haaaa haa we hunatofauti na mie aiseee ila kuna mmoja kule badoo akanipa namba mara akaanza my ninaomba 5000, nilimshangaa maana nikimwangalia ni Mzuri na sio wa kuomba pesa hiyo, mie nikamtolea uvivu na kumwambia njoo lodge tukutane, maeneo yangu huwa pale simu2000 kuna lodge moja iko uchochoroni mpaka rahaa😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Pasaka hii napataka call nyiiingi sana kwa mademu weeengi,.. Wengine wakisahau mambo waliyonitendea huko nyuma,.. Ninapowakumbusha naishia kupata matusi tu... Shida hazina adabu.... "Naomba hela ya kula Pasaka" teteteteeeeh.. Naishia kucheka saaana,... Vibweka.
 
Noma sana noted
 
Hamna kudanganyana hapa...Offline nitakupa pesa after MISSION COMPLETE.... Hamna cha bure hapa
tena nyie mnaojifanyaga wababe humu jukwaani ndo mnaishiaga kushikia watu mapembe tu, hata kuchinja hamchinji na pesa zinawatoka vilevile, endelea kujifariji humu jukwaani coz huko kitaa wanawake tunawafanya kitu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…