Wale mademu wanaopenda kuomba hela

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mdada akiwa na Tabia ya kufungua sana Mikono
Kuomba-omba Hela au Kuomba-omba Vitu kutoka
kwa Mwanaume au Wanaume fulani, Ndivyo na hao
anaowaomba watakavyomuomba-omba na yeye
afungue Miguu yake pia
Kwenye Uchumi tunaita Quid Pro Quo....Nothing Goes for Nothing.
Kinachotengeneza Nyuzi ngapi Miguu yako iache
uwazi katikati inategemea na jinsi gani Mikono
yako umeifunga kutegemea Hisani kutoka kwa Mtu
au Watu...Open your hands and they open your
legs too Hivi hamjiulizi,huyo Mwanaume unayempiga
Mzinga ameitolea jasho kiasi gani hiyo hela aje
kukupa wewe kwa mteremko wa Kitonga tu??
Nitoke jasho wewe uje utikise Kalio niteme
dola..THUBUTU
 
STUNTER naona mwaka huu umedhamiria kurudi tena kwa kasi

Wakikuomba waulize tu kwani ina TV ndani? [emoji445] [emoji444]
Inawezekana ukawa ujio mpya
 
STUNTER naona mwaka huu umedhamiria kurudi tena kwa kasi

Wakikuomba waulize tu kwani ina TV ndani? [emoji445] [emoji444]

Na yeye abaki na hamu zake [emoji23]
 
Dah! Nimeipenda hiyo. Kwa hiyo tuwe na mikono kama kangaroo? Hamna kuhonga kiboyaboya. Noma, noma kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gone are the days when men used to give with their hearts, they now give with their hands.

When they used to talk with their mind, they now talk with their lips.

When they used to see with their eyes, they now see with their stomach.
 
STUNTER naona mwaka huu umedhamiria kurudi tena kwa kasi

Wakikuomba waulize tu kwani ina TV ndani? [emoji445] [emoji444]
Kuna mjumbe mmoja nishawah kukoment kwenye uzi kwa Kusema KWAN INA TV NDAN?

Akanijibu akasema WE NI MJINGA SANA INAVYOONEKANA HUKO KWENU TV NDO KITU CHENYE THAMAN SANA
 
Mim najihis mweny bahat san sitoi hata ile ya vocha lkn dem kila weekend ananiita nimpe mambo
 
Jamani hebu wacheni mikono ya birika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…