Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa! Vipi sasa siwaoni au wameolewa?

Ukubwani nimewamiss kwakweli!!au kilikuwa kipindi cha umri wa stress😀
😀😀😀
 
Back
Top Bottom