Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunawatishaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tunawatishaje sasa
😀😀 Pale LIMSHANGAZI linapowasubiria wenzieNawasubiri mashangazi waje..
Hapo kwenye limshangazi Madame B umepatia kinomanoma
hahahaha😀😀 Pale LIMSHANGAZI linapowasubiria wenzie
Daaah! nimewaza kama wewe, kulikuwa na Lady fulani fulani au Miss Nani naniiiiiii sijui au Madam fulanii......Duh hata yael majina miss nani sijui miss nini yameisha kweli siku hazigandi!
Acha Tu, tumeingia JF na 20s tukapita 30s sasa hibi tuko 40sDaaah! nimewaza kama wewe, kulikuwa na Lady fulani fulani au Miss Nani naniiiiiii sijui au Madam fulanii......
Ila mazee tokea miaka ya 2008 hadi 2022, nadhani wengine wako na wajukuu sasa......
Shangazi wa wapi tenaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] me shangazi bwana
Vee wa makehu mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nenga songa mlongo wangu
Wapo wamekumbatia vibenten vyao.... Wanataka kupewa mimba na vibenten alaf ety watalea wao.....Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa!vipi sasa siyaoni au yameolewa??
ukubwani nimewamiss kwakweli!!au kilikuwa kipindi cha umri wa stress😀
😀😀😀
Mm nataka nikufukunyue tuWapo wamekumbatia vibenten vyao.... Wanataka kupewa mimba na vibenten alaf ety watalea wao.....
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Mm nataka nikufukunyue tu
[emoji7][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kuna nini, ngoma ya kumfunda mwali?