Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

Hii Royal Tour ya JF inahitaji uzi wake binafsi…….imenikumbusha trip yetu ya JF mwaka 2010 nafikiri……..
Irudiweeeee…….irudiweeeee……..
@Pakajimmy…@Filipo…..@marejesho…..@Lily Flower….@sweetlady……@madam B…..@watu8…..
jf legendary royal tour

Wadau fanyieni kazi hili Mtambuzi Madame B
 
Hii Royal Tour ya JF inahitaji uzi wake binafsi…….imenikumbusha trip yetu ya JF mwaka 2010 nafikiri……..
Irudiweeeee…….irudiweeeee……..
@Pakajimmy…@Filipo…..@marejesho…..@Lily Flower….@sweetlady……@madam B…..@watu8…..
Heshima kwako mkuu Preta.
 
Hii Royal Tour ya JF inahitaji uzi wake binafsi…….imenikumbusha trip yetu ya JF mwaka 2010 nafikiri……..
Irudiweeeee…….irudiweeeee……..
@Pakajimmy…@Filipo…..@marejesho…..@Lily Flower….@sweetlady……@madam B…..@watu8…..

Aunt P ☺️ naona hadi umesahau mwaka...

Ilikuwa 2013
 
Kawaida yetu mashangazi, mwali anatoa fungu lake tena akitaka anazibadili ziwe za huko mbele.

Mashangazi kazi yetu ni kuzimwaga hela tu,

Mashangazi huwa hatuna hela
 
Back
Top Bottom