Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa!vipi sasa siyaoni au yameolewa??
ukubwani nimewamiss kwakweli!!au kilikuwa kipindi cha umri wa stress😀
😀😀😀