Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani kama kichwa chauzi kinavyojieleza maana hata kitaani siyaoni au zama zimebadilika maana kipindi kile tulikuwa tunagongana kitaa! Vipi sasa siwaoni au wameolewa?

Ukubwani nimewamiss kwakweli!!au kilikuwa kipindi cha umri wa stressπŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…