...enzi hizo kulikuwa na akina bob chura,mwiba,galopa mkristo...
hhaaahah namkumbuka yule, ebwana tena umenikumbasha akina galopa mchizi alikua ana buti kubwa kushinda mwili wake kudadadeki makongoro tulikua na machizi kweli!!!
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.

Umemsahau John Kisomo Joshua Mtae, Tumaini Kweka ni wakili wa serikali bukoba, Mwasa sijui yuko wapi mara ya mwisho alikuwa IFM, Nelly ni msaidizi wa waziri Masha. Vpi Ambrose Assenga na Andrew Peter (White) wako wapi?
Ambokile yuko FFU ukonga , jamaa alioa mwezi May mwaka huu, nasikia mshikaji ni mnoko ile mbaya , anapiga virungu sana, alionekana mstari wa mbele kule Tarime ....ansifika kwa ukatili.Ambokile jamani?
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.
Frank namkumbuka sana, ila ambacho sina hakika alikua ni kweli mtoto wa masilingi huyu mbunge ? au ilikua zuga tu.Namkumbuka Frank aka mtoto wa Masilingi kama alivyokuwa anapenda aitwe hivyo japo mtoto wa Mkulima! Huyu jamaa alikuwa bishoo balaa!
nilisikia story za kufariki kwa mwalimu huyo wa French, bahati mbaya sikuwa na mtu wakucpnfirm, kwa ujumla alikua mtu wa vituko vya kila namna ambavyo huwezi kuvitegemeA toka kwa mwalimu, ilikua akiwa zamu kama unataka kwenda town, yaani hana noma. sijui kama Ubalozi WA Ufaransa Dar es salaam ulipeleka mwakilishi kwenye msiba wake.....RIP MWALIMU WA French....Je unamkumbuka jina ?wilson kuja yuko wapi?alikuwa anaishi mirambo kama sikosei.........tunu siza,muhsin hamza,kimosa,samwel ketto, wako wapi..........
yule mwalimu wa kifaransa aliyekuwa anapiga picha nasikia alishafariki(RIP)....alikuwa funny sana.....na yule ticha mlemavu nasikia alipata cheo kikubwa kwenye chamacha walemavu tanzania..........................fumbuka ???????ahhahhahhah
jina lake ni mwalimu mkumbo....wakati nilipoenda pale minaki nilikutana na mke wake ndio aliyenipa hii taarifa nilifuata ganda langu la o-level.....n.....rip mwalimu wa french....je unamkumbuka jina ?
.
wilson kuja yuko wapi?alikuwa anaishi mirambo kama sikosei.........tunu siza,muhsin hamza,kimosa,samwel ketto, wako wapi..........