Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo?
Karibu utuelezee ili na wengine wenye tatizo kama lako wasaidike?
Karibu utuelezee ili na wengine wenye tatizo kama lako wasaidike?