Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Nasikia harufu ya yai viza, wewe mjanja kweli.Mimi ni mtoa huduma ambaye ninakutana na watu wenye tatizo hilo mara kwa mara. Ndio maana ninajaribu kuchukua uzoefu wenu wa kusolve hilo tatizo ili niweze kuwasaidia wahanga ikibidi.