Wale mliokuwa mnahesabu Mechi za Yanga SC Kutokufungwa tuendelee au Msudani keshaiharibu?

Wale mliokuwa mnahesabu Mechi za Yanga SC Kutokufungwa tuendelee au Msudani keshaiharibu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ninachojua Jumapili zote huwa ni mbaya Kinyota kwa Yanga SC hivyo kama alivyokufa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba 2022 ndiyo hivyo hivyo ataenda Kufa tena Jumapili ya tarehe 23 Oktoba 2022.

Kudadadeki Asanteni Wasudani.
 
Unbeaten ya Yanga inahesabika kwenye ligi ya NBC tu ndugu POPOMA.
 
Si mlisema Al Hilal FC ni kama tu Zalan FC imekuwaje tena leo? Mtaendelea kuwa Wapokea Wageni wanaokuja kucheza na Simba SC hadi mkome....!!!!!!
Al Hilal FC Leo walipaki Basi, Waka mwacha refa ashambulie. Yanga Haikutolewa na Al Hilal, imetolewa na Mwamuzi.
Un beaten yetu inaendelea na Simba ndie anayefuatia.
 
Al Hilal FC Leo walipaki Basi, Waka mwacha refa ashambulie. Yanga Haikutolewa na Al Hilal, imetolewa na Mwamuzi.
Un beaten yetu inaendelea na Simba ndie anayefuatia.
Yebaaa!
 
Back
Top Bottom