GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwi kwi kwi, huyo baunsa wako alikula nne kwa MkapaMmepata kibonde imekuwa shida.
Itakuwa viziuri mkakutananao tenaKwi kwi kwi, huyo baunsa wako alikula nne kwa mkapa
Si mlisema Al Hilal FC ni kama tu Zalan FC imekuwaje tena leo? Mtaendelea kuwa Wapokea Wageni wanaokuja kucheza na Simba SC hadi mkome....!!!!!!Mmepata kibonde imekuwa shida.
Al Hilal FC Leo walipaki Basi, Waka mwacha refa ashambulie. Yanga Haikutolewa na Al Hilal, imetolewa na Mwamuzi.Si mlisema Al Hilal FC ni kama tu Zalan FC imekuwaje tena leo? Mtaendelea kuwa Wapokea Wageni wanaokuja kucheza na Simba SC hadi mkome....!!!!!!
Yebaaa!Al Hilal FC Leo walipaki Basi, Waka mwacha refa ashambulie. Yanga Haikutolewa na Al Hilal, imetolewa na Mwamuzi.
Un beaten yetu inaendelea na Simba ndie anayefuatia.