Mapambano kag
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 117
- 26
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatakiwa uwe na Kitambulisho chochote chenye majina yako na picha yako basiNaomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
unatakiwa uwe na Kitambulisho chochote chenye majina yako na picha yako basi
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
yaap hata kama una leseni au hata result slip unaweza kwenda nayo!nashkru sana, kitambulisho chenye picha,Sasa hapo cha mpiga kura kinachukua nafas au vp mkuv?
yaap hata kama una leseni au hata result slip unaweza kwenda nayo!
nimeona direct cost 77400, je hela ya hostel ni sh. Ngap jumla kwa semister?
hakuna gharama yeyote wewe ukishachukua admission letter yako wanakuelekeza maktaba unaenda kupiga picha. Ila kitambulisho ndo hawakupi hadi ukamilishe registration.shukran mkuu kwa kunijuza,halafu nilisikia kuwa mnapiga picha kama ni kwel kias gan wanahtaj?
Sasa hapi yombo unashukia sehemu gani?
I get you comrade!!!tatizo thread zinajirudia mbwiga, na baadhi ya maswali majibu yake yanakua yanapatikana katika thread nyingine.
msisahau kutoa kopi hata zaid ya mbili ikiwezekana mana hiyo admission hutolewa mara moja na hutumika kama utambulisho wako mpk utakapopata ID...hongeren hop we gona meet there