Wale mliokwisha chukua admission letter udsm

Wale mliokwisha chukua admission letter udsm

Mapambano kag

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
117
Reaction score
26
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
 
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu
unatakiwa uwe na Kitambulisho chochote chenye majina yako na picha yako basi
 
Naomben mnijuze baadh ya vitu ambavyo unatakiwa kwenda navyo kwa sasa kabla ya tar 12 oct na mambo mhm mnayokutana nayo huko natanguliza shukran kwenu wakuu

nimeona direct cost 77400, je hela ya hostel ni sh. Ngap jumla kwa semister?
 
shukran mkuu kwa kunijuza,halafu nilisikia kuwa mnapiga picha kama ni kwel kias gan wanahtaj?
hakuna gharama yeyote wewe ukishachukua admission letter yako wanakuelekeza maktaba unaenda kupiga picha. Ila kitambulisho ndo hawakupi hadi ukamilishe registration.
 
Sasa hapi yombo unashukia sehemu gani?

kijana fika ubungo ulizia magari ya changanyikeni panda hapo shuka kituo kinaitwa utawala..ukifika hapo muulize mtu yoyote yombo ndo wapi atakuelekeza...
au unweza fika had mwenge panda magari yanayoend ubungo lakin yanapitia chuo shuka kituo kinaitwa bondeni ukifika hapo uliza mtu yoyote atakuelekeza yombo ilipo...karibu ud....
 
msisahau kutoa kopi hata zaid ya mbili ikiwezekana mana hiyo admission hutolewa mara moja na hutumika kama utambulisho wako mpk utakapopata ID...hongeren hop we gona meet there
 
msisahau kutoa kopi hata zaid ya mbili ikiwezekana mana hiyo admission hutolewa mara moja na hutumika kama utambulisho wako mpk utakapopata ID...hongeren hop we gona meet there

kwl mkuu tar 12 tumeet hapo
 
Hostel ni Tsh.800@ day mliman na Tah.500@day mabibo for tanzania nationals USD 3 for non-tanzanian and ,direct cost Tsh.77400 na kwa wale wa B.Ed (PESS) wanatakiwa kuleta:
*Track suit
*A pair of shorts
*A pair of football boots
*T-Shirts,for physical fitness,that is all
 
Back
Top Bottom