MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa.
Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job ambao aliwatoa sana Pumu (Aliwatesa) hadi Kujichanganya katika Derby ya hivi Majuzi ambapo Simba SC ilifungwa kwa Msaada wa Wasaliti 9 walioko Klabuni Simba SC.