MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Kiyombo ni mchezaji mzuri sana ila Poulsen hamna kocha pale. Yeye anachofanya ni kutazama mechi mtu akicheza vizuri anamuita na anaingia timu ya Taifa kikosi cha kwanza. Hafanyi nuturing ya wachezaji kabisa.Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa.
Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job ambao aliwatoa sana Pumu (Aliwatesa) hadi Kujichanganya katika Derby ya hivi Majuzi ambapo Simba SC ilifungwa kwa Msaada wa Wasaliti 9 walioko Klabuni Simba SC.
Wewe kweli boya kama huyo kocha.Nami nawaambieni hapa hapa kuwa huyu Habib Kiyombo akituliza tu Akili na Kuacha Kucheza kwa Presha na Kujiamini atakuja kuwa Bonge la Mshambuliaji tena hata kuliko tuliokuwa na tulionao kwa sasa.
Ukitaka kujua vyema Shughuli yake Uwanjani watafute Mabeki akina Yanick Bangala na Dickson Job ambao aliwatoa sana Pumu (Aliwatesa) hadi Kujichanganya katika Derby ya hivi Majuzi ambapo Simba SC ilifungwa kwa Msaada wa Wasaliti 9 walioko Klabuni Simba SC.
Anahita ndiyo Kiswahili gani hiki? Pale hamu Kocha ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Sasa kama Kuandika tu vizuri hujui utaweza kweli Kupambana nami Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person MINOCYCLINE?W
Wewe kweli boya kama huyo kocha.
Yaani anahita wachezaji 2 wanaocheza namba moja kwenye timu moja huo siyo uboya kweli!
Pale hamu. Kocha
Boya unasemaje?Anahita ndiyo Kiswahili gani hiki? Pale hamu Kocha ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Sasa kama Kuandika tu vizuri hujui utaweza kweli Kupambana nami Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person MINOCYCLINE?