Wale mliopata wachumba JamiiForums hatimae kufunga ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kuto kutoa asante katika jamii yetu.
Mkimualika kama yuko busy mimi si mind kuja badala yake au kwa niaba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…