Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anza wewe na babu Aspirin..Kama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kiti kutoa asante katika jamii yetu.
Mshana atakubari?Nikizaa mtoto kiume nitampa jina lakeeee
Wewe inabidi ushukru maana uhenga ungekuvamia soon bila mr. Matunguri kuokoa jahazi..[emoji125][emoji125]Nikizaa mtoto kiume nitampa jina lakeeee
Ndioo ahadi yetuMshana atakubari?
Mxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mmWewe inabidi ushukru maana uhenga ungekuvamia soon bila mr. Matunguri kuokoa jahazi..[emoji125][emoji125]
Basi ni jambo jemaNdioo ahadi yetu
AmeenBasi ni jambo jema
Mmhhh! Umekauka hivyo..! Shukru mr. Matunguri anapenda vitu vikavu kama dagaa kauzu angekuwa mzee wa rehema za Allah (shehe kipozeo) ulishakula cha mbavu..Mxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mm
TumekujaWapo kweli?
Ngoja tuwasubiri
Hahah kwani ndoa tayari?Tumekuja
Kibiblia tayari...[emoji41]Hahah kwani ndoa tayari?
Poleee sana ndugu umesahau ulinipa no yako sjakutafuta haya povuka kadri uwezavyo najua tu lazima upovukeMmhhh! Umekauka hivyo..! Shukru mr. Matunguri anapenda vitu vikavu kama dagaa kauzu angekuwa mzee wa rehema za Allah (shehe kipozeo) ulishakula cha mbavu..
Hahah!! Aya tunasubiri uzi wa shukrani kwa jfKibiblia tayari...[emoji41]
Acha uongo wewe 😀😀Mxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mm