Wale mliopata wachumba JamiiForums hatimae kufunga ndoa

Wale mliopata wachumba JamiiForums hatimae kufunga ndoa

Kama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kuto kutoa asante katika jamii yetu.
Mkimualika kama yuko busy mimi si mind kuja badala yake au kwa niaba yake.
Dah......... Una maana hizi staging marriage?
 
Mmhhh! Umekauka hivyo..! Shukru mr. Matunguri anapenda vitu vikavu kama dagaa kauzu angekuwa mzee wa rehema za Allah (shehe kipozeo) ulishakula cha mbavu..
inakoelekea mtakuja kupigana na @Demmis
 
Back
Top Bottom