[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]asante kwa kunimiss mkuuHilo nalo neno mkuu. Jana nilipita Dodoma nikakukumbuka mkuu.
Mzigua kwani u mjamzito au ndio harakati za kuutafuta?Nikizaa mtoto kiume nitampa jina lakeeee
Mimi siyo mzigua mm DemissMzigua kwani u mjamzito au ndio harakati za kuutafuta?
Mai maia maii, nisamehe Demis, nisamehe, Mrs Mshana, nisamehe sanaMimi siyo mzigua mm Demiss
Dah......... Una maana hizi staging marriage?Kama kichwa cha habari hapo juu, mliofunga ndoa kutokana na JF, mlikumbuka kutoa shukran kwa Max Mello?
Si uugwana kuto kutoa asante katika jamii yetu.
Mkimualika kama yuko busy mimi si mind kuja badala yake au kwa niaba yake.
Ulichanganyaaa madesaaaMai maia maii, nisamehe Demis, nisamehe, Mrs Mshana, nisamehe sana
Think[emoji1] [emoji23]Njoo inbox tutete kidogo
Jamani we na jeiefu mtanitoa mbavuMuhimu ni ' Kukojoa ' tu huko Kusonga unakokutaka Wewe nenda katafute ' Mwiko ' kisha jipanue ' ujisonge ' nao vizuri.
Zimefika aiseeMsalimie espy [emoji4]
π³ π³ π³ πWewe inabidi ushukru maana uhenga ungekuvamia soon bila mr. Matunguri kuokoa jahazi..[emoji125][emoji125]
π π πMxeeew mm mtoto mbich jf nzimaa hakuna msichana mdog kama mm
π³ π³ π³Mmhhh! Umekauka hivyo..! Shukru mr. Matunguri anapenda vitu vikavu kama dagaa kauzu angekuwa mzee wa rehema za Allah (shehe kipozeo) ulishakula cha mbavu..
Dah......πNdiyo mkuu
inakoelekea mtakuja kupigana na @DemmisMmhhh! Umekauka hivyo..! Shukru mr. Matunguri anapenda vitu vikavu kama dagaa kauzu angekuwa mzee wa rehema za Allah (shehe kipozeo) ulishakula cha mbavu..