Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Si vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa kujisomea vitabu ili kupata maarifa na kukuza ubongo.
Pamoja na nia nzuri hiyo wasomaji wa vitabu hivyo waligeuka wakawa Matajiri Hewa.
Yaani ukisema hukifahamu au unakijua lakini hujakisoma vijana wenzako walikuona wewe ni mtu usiye serious na maisha na unajijengea msingi wa umaskini.
Wengine walitu label kabisa, utamskia kijana we utakuwa Maskini, soma vitabu vya matajiri.
Ndoto bila matendo( actions) ni sawa na mawazo ya mlevi.
Je mmefikisha bilioni ngapi ngapi kwenye account zenu?