Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Utajiri ni rahisi mdomoni na kwenye maandishi.
Ingia field ulicheze sebene.
Ingia field ulicheze sebene.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakula kiuno cha Ng'ombe?Nakukaribisha kwenye ranch yangu ujionee ufugaji Bora wa kisasa wa ng'ombe aina ya BORANI, ng'ombe mzuri sana wa nyama.
Karibuni sana.View attachment 3176476
Noma sanaUtajiri ni rahisi mdomoni na kwenye maandishi.
Ingia field ulicheze sebene.
Ranch IKO Bagamoyo, Kijiji Cha Fukayose, mtaa wa Lusako. Ufugaji unalipa sana, solo lake ni la uhakika. Bei ya nyama buchani leo ni sh. 11,000/-Mnakula kiuno cha Ng'ombe?
Iko wapi hiyo?
Haujamjibu swali lake, kame nawe ni mmoja wa waliosoma hicho kitabu anaomba mrejesho kwa "umefikisha bilioni ngapi mpaka sasa". He just wants to be motivated.Ukisoma kitabu cha nje ya nchi, muhimu kutafsiri katika mazingira yako.
Mwaka 2002 nilikuwa na kitabu cha saikolojia na maisha cha bwana mmoja aliitwa Dismas, aisee kilinisaidiaga nilikuwa bahili na mchumi kweli, mpk kufikia kuwa na kijibanda na mabanda, japo nilifuliamo baadae, yule bwana sijui alifiaga wapi,nadhani sijui kaacha kutoa vitabuSi vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa kujisomea vitabu ili kupata maarifa na kukuza ubongo.
Pamoja na nia nzuri hiyo wasomaji wa vitabu hivyo waligeuka wakawa Matajiri Hewa.
Yaani ukisema hukifahamu au unakijua lakini hujakisoma vijana wenzako walikuona wewe ni mtu usiye serious na maisha na unajijengea msingi wa umaskini.
Wengine walitu label kabisa, utamskia kijana we utakuwa Maskini, soma vitabu vya matajiri.
Ndoto bila matendo( actions) ni sawa na mawazo ya mlevi.
Je mmefikisha bilioni ngapi ngapi kwenye account zenu?
900×11000= 9,900,000.Ranch IKO Bagamoyo, Kijiji Cha Fukayose, mtaa wa Lusako. Ufugaji unalipa sana, solo lake ni la uhakika. Bei ya nyama buchani leo ni sh. 11,000/-
Borani mmoja anaenda hadi kilo 900.
Nikiuza kwa bei ya sh. 9,000/ kilo hapo nina kiasi gani?
Na mimi daily nachinja ng'ombe sita hadi kumi kutokana na order ninazopata
Wanazuoni aka wazee wa falsafa za kitajiri wakawa wana tuwekea nukuu tu sasa za hiko kitabu. Binafsi sijawahi kisoma na sitaki kukisoma. Nitajifunzia kitaaniSi vibaya tukapeana mrejeshi ili kutoa hamasa mwa watu wengine, vijana na wenye mwelekeo wa kujikomboa kiuchumi.
Miaka 10 hadi 15 iliyopita na pengine zaidi nikiwa Chuoni kulizuka utaratibu wa kujisomea vitabu ili kupata maarifa na kukuza ubongo.
Pamoja na nia nzuri hiyo wasomaji wa vitabu hivyo waligeuka wakawa Matajiri Hewa.
Yaani ukisema hukifahamu au unakijua lakini hujakisoma vijana wenzako walikuona wewe ni mtu usiye serious na maisha na unajijengea msingi wa umaskini.
Wengine walitu label kabisa, utamskia kijana we utakuwa Maskini, soma vitabu vya matajiri.
Ndoto bila matendo( actions) ni sawa na mawazo ya mlevi.
Je mmefikisha bilioni ngapi ngapi kwenye account zenu?
Thank you for clarificationHaujamjibu swali lake, kame nawe ni mmoja wa waliosoma hicho kitabu anaomba mrejesho kwa "umefikisha bilioni ngapi mpaka sasa". He just wants to be motivated.
Unamkuta mtu kashajiona tajiri anaanza dharau hata mia bado hajaipata😅😅Wanazuoni aka wazee wa falsafa za kitajiri wakawa wana tuwekea nukuu tu sasa za hiko kitabu. Binafsi sijawahi kisoma na sitaki kukisoma. Nitajifunzia kitaani
😅😅😅wapiKumbe wewe ndo maana JUZI walitaka kukupiga mawe
Kule jukwaa la siasa kwa haya haya mambo yako😅😅😅wapi
Sana mkuu. Nikikumbuka huwa nacheka tu maana kufanikiwa ni mambo mengi kama bahati, familia, mazingira, mahusiano na kazi pia kipaji nkUnamkuta mtu kashajiona tajuru anaanza dharau hata mia bado hajaipata😅😅
Dah 😂😂😂😂Aliyeniuzia juzi tumekutana unauza ubuyu
Wapigie simu wapigie tupate ushuhuda.Vayolensi 😬😬🥲🥲,.
Na kuna hiki cha kuitwa “ Secret of Millionaire Mind mastering the inner game of Wealth “” Ngoja kwanza kuna watu niwatafute narudi😹😹😹😹🙌
HahahaDah 😂😂😂😂
Very true. Ni multifactorial.Sana mkuu. Nikikumbuka huwa nacheka tu maana kufanikiwa ni mambo mengi kama bahati, familia, mazingira, mahusiano na kazi pia kipaji nk