Wale Mliosoma Kitabu cha Poor Dady Rich Dady Miaka 10 iliyopita sasa hivi mna miliki Bilioni Ngapi ngapi?

Mnakula kiuno cha Ng'ombe?

Iko wapi hiyo?
Ranch IKO Bagamoyo, Kijiji Cha Fukayose, mtaa wa Lusako. Ufugaji unalipa sana, solo lake ni la uhakika. Bei ya nyama buchani leo ni sh. 11,000/-
Borani mmoja anaenda hadi kilo 900.
Nikiuza kwa bei ya sh. 9,000/ kilo hapo nina kiasi gani?

Na mimi daily nachinja ng'ombe sita hadi kumi kutokana na order ninazopata
 
Mwaka 2002 nilikuwa na kitabu cha saikolojia na maisha cha bwana mmoja aliitwa Dismas, aisee kilinisaidiaga nilikuwa bahili na mchumi kweli, mpk kufikia kuwa na kijibanda na mabanda, japo nilifuliamo baadae, yule bwana sijui alifiaga wapi,nadhani sijui kaacha kutoa vitabu
 
900Γ—11000= 9,900,000.

Hela ndefu sana.
Hili kulitunza mpaka linafika hapo bei gani?
 
Wanazuoni aka wazee wa falsafa za kitajiri wakawa wana tuwekea nukuu tu sasa za hiko kitabu. Binafsi sijawahi kisoma na sitaki kukisoma. Nitajifunzia kitaani
 
Vayolensi 😬😬πŸ₯²πŸ₯²,.

Na kuna hiki cha kuitwa β€œ Secret of Millionaire Mind mastering the inner game of Wealth β€œβ€ Ngoja kwanza kuna watu niwatafute narudiπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™Œ
 
Vayolensi 😬😬πŸ₯²πŸ₯²,.

Na kuna hiki cha kuitwa β€œ Secret of Millionaire Mind mastering the inner game of Wealth β€œβ€ Ngoja kwanza kuna watu niwatafute narudiπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ™Œ
Wapigie simu wapigie tupate ushuhuda.
 
Mimi nimesoma vitabu hivi

The power of subconscious mind -ukisoma kitabu hiki na ukakielewa basi utapata a lot of opportunities in your life.

The low of attraction - ukisoma hiki kitabu utakuwa MTU chanya Sana hauwezi Kuwa MTU wa kulalamika kila wakati na utajua umuhimu wa kujiwazia mema .

Nimesoma the magic - hiki kinaelezea nguvu ya shukurani ukiwa MTU wa kushukuru your life will change completely you will never remain the same .

The power of karma- hii ndo balaa hasa ukielewa hii utaishi vizuri wewe na kizazi chako .

Rich dady poor daddy - hii inakujenga kuwa na nidhamu ya pesa , na uwekezaji

Kuhusu vitabu vinasaidia sana kiukweli.

Ndo maana MTU Kama Mshana Jr na the like hauwezi kuwakuta wanalalamikia watu hovyo au kuwa negative


"Someni vitabu hasa nyie waswahili mtajifunza na kuelewa Kuwait your life 100% inatoka na kile kilichomo kichwani"

Your thoughts creates things.
 
Sana mkuu. Nikikumbuka huwa nacheka tu maana kufanikiwa ni mambo mengi kama bahati, familia, mazingira, mahusiano na kazi pia kipaji nk
Very true. Ni multifactorial.

Sasa vijana hawajui hii. Kila kitu wanakurupuka tu na kuanza kututukana sisi kaka zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…