Hatukosea kwenye invoice kwa sababu custom value (CIF) haikuzidi CIF ya gari. Labda kama unazungumzia kuchakachua invoice ambayo bad isingesaidia. Custom Value (bei elekezi ya TRA) ilikuwa $2145, mie nililinunu kwa $1900.pole agent wako alikua kilaza..next time nambie nikupe agent,,,akikosea kwenye invoice submission tu umeliwaa
Ile gari, bei elekezi ya TRA (custom value CIF) ilikuwa $2145, ushuru 4.1mil (bila registration) mie nililinunua kwa $1900. Je, unazungumzia kuchakachua invoice?pole agent wako alikua kilaza..next time nambie nikupe agent,,,akikosea kwenye invoice submission tu umeliwaa
Ni bei halali. Kuna nyingine mpaka unapata kwa $30-100. Jumlisha na bei ya kulisafirisha mpaka Bongo inafika $1000+. Kazi ipo hapo TRA.Wao hawajali umenunua gari kwa kiasi gani,hata kama umepewa bure ingiza details za gari husika kwenye Calculator ya TRA utapata bei ya gari kuwa barabarani
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
notedIle gari, bei elekezi ya TRA (custom value CIF) ilikuwa $2145, ushuru 4.1mil (bila registration) mie nililinunua kwa $1900. Je, unazungumzia kuchakachua invoice?
Uko sahihi kabisaBeforward wapo vizuri sana na hawana ubabaishaji. Hizo bei unazoziona ni bei ya gari bila gharama za usafirishaji kufika Dar (FOB). Kumbuka hapo bado hujakutana na rungu la TRA. Hiyo ya USD 300 FOB mpaka unaiingiza barabarani hazipungui mil 7 mpaka 8 za kibongo
Ni kweli kbsa
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
Hizo bei ni kweli, wala usiwe na wasi wasi nazo.. unaweza kwenda ofisini kwao iko mkabala na tigoshop ya ocean road hospital pale posta.. (kama unaelekea southern sun hotel)
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
Mkuu hebu niambia gharama zote za kuagiza hiace yenye cc 1900 had inanifikiapole agent wako alikua kilaza..next time nambie nikupe agent,,,akikosea kwenye invoice submission tu umeliwaa
almost same as the CIF priceMkuu hebu niambia gharama zote za kuagiza hiace yenye cc 1900 had inanifikia
Usijaribu weka mbali na watoto, utalia kama mtoto anavokunywa dawa chungu
TT ni nini kakawapo sawa sema hapo ni bei ya gari na kulisafirisha mpaka dar, hapo ongezea na kodi utajua gharama yake mpaka linakufiikia kwako, jamaaa wapo sahihi, pia kama unatuma pesa tumia TT Na sio western union
Umeeleza vizuri sana kaka.Pongezi kwakoIle price ni insignificant. Yaani hata kama price ni $ 0.00 (maana kule gari likifika umri wa miaka mitano tangu litengenezwe irrespective of its condition halipaswi kuonekana barabarani) jitayarishe kulipa kiasi kama Tsh 8 million kama gharama kuLisa irisha hadi Dar (Tsh 2.5 million) na gharama za kodi mbali mbali za serikali ya Tanzania (si chini ya Tsh 5.5 million). Hako ka calculator kwenye website ya TRA katakupa rough estimate tu ya kodi utakazopaswa kulipa pale TRA. Bado kuna kodi za mamlaka zingine za serikali, mawakala wa bandarini pamoja na mamlaka yenyewe ya bandari na kadhalika.
Lakini mwisho wa yote utakuwa ume serve TSh 3 million au hata 5 million kama gari hilo ungalinunua kutoka kwenye show rooms za hapa Tanzania. Kwani hao wenye showrooms hizo nao hupitia utaratibu huo huo wa online purchase halafu wanaweka faida yao isiyopungua 50%. Ukikuta mwenye showroom anauza chini ya hapo basi ujue aidha huyo ni mkwepa kodi au ghari hiyo haina kiwango na itakusumbua baada ya muda mfupi. Kuepuka kutapeliwa katika manunuzi ya mtandaoni, nunua kutoka kwenye kampuni ambazo zinajulikana na zinazotumiwa na watanzania walio wengi ikiwamo hao wenye hizk car showrooms.
mkuu hebu nichanganulie Land lover Discovery 3Hizo bei ni kweli, wala usiwe na wasi wasi nazo.. unaweza kwenda ofisini kwao iko mkabala na tigoshop ya ocean road hospital pale posta.. (kama unaelekea southern sun hotel)
Mimi ni kampuni changa, inayochipukia. Hivyo bei zangu ni chini zaid hata ya be forward
Kwangu, hio ya blue naweza kukuletea kwa Tshs 6,650,000 (mpaka barabarani kasoro bima)
Na hio ya silver Tshs 6,250,000 ( mpaka barabarani kasoro bima)
N.B ; NINAPOSEMA MPAKA BARABARANI, NAMAANISHA INAKUA IMEJUMLISHA GHARAMA ZOTE YAANI, CLEARING, PORT CHARGES, SHIPPING LINE.
MUDA WA KUFIKA NI WEEK 6 MPAKA 8.
KILA KITU TUNAANDIKISHIANA MKATABA KISHERIA.
KARIBU SANA.
Telegraphic Transfer, ukifika bank ukasema unataka kutuma pesa kwa TT, wao wanajua, unapewa fomu unajaza.TT ni nini kaka
AsanteTelegraphic Transfer, ukifika bank ukasema unataka kutuma pesa kwa TT, wao wanajua, unapewa fomu unajaza.
TT ni nini kaka
Mkuu hiyo INSPECTION FEE wasipo weka inamadhara gani?Hizo bei ni kweli,
Ila hakikisha zina INSPECTION FEES.
Pili hizo ni bei mpaka gari inafika bandarini dar es salaam,
Hapo kodi, hela ya clearing agent, hela ya bandari hujaweka bado.