witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Haaaaa haaaaa....hili balaa duuuh,!Hata ujumbe huwezi soma ukauelewa
Yaani siku zote leo ndo kajua?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
JF kuna vituko asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaa haaaaa....hili balaa duuuh,!Hata ujumbe huwezi soma ukauelewa
Hawa jamaa wameni chaji handling pekee 780,000/=,sijui ni kitugani hicho.Mbona hizo bei ni sahihi tu ila hapo inabidi kuchagua bei with inspection na km utaamua hela kuwaeekea ktk acc yao ya tz iliyopo crdb utaongeza 40$ ya ku reprocess tt to japan na ushuru kulingana na tra calculator plus ghalama nyingine like 800k hapo gari itakuwa mkononi hii kampuni ya beforward ni uhakika haina ubabaishaji office zao kwa dar zipo opposite Ocean Road Hospital na cleaning wanafinya gari yako utaipokelea kurasini kamata kwenye car park yao
Clearing mnafanya kwa bei gani?Nitafute 0655731345 nitakupa mwongozo
Jamaa tatizo ilikua umande ama ngumbaro nini?Hizo document 9 ndo unasema nyingi ziweke hacha mbwembwe na maneno ya kiswahili. Weka document kuanzia unaagiza mpaka linaingia barabarani acha polojo
Yaani nguvu uliyotumia kubishana na matusi uliyokuwa unayatoa....duh!!Nimeziona mkuu, sorry. Kumbe mi ndio sijui. Be foward hiko poa, show room wanatupiga sana
Ah wapi, hio style ilikuwa zamani kabla ya hiki kiji system chao cha used motor vehicle vauation & calculator.kifupi,,bei utayonununulia ndo bei utayolipia kama kodi gari ikifika dar,,,
![]()
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?