Acha ikae tu kaka,Mkuu hiyo INSPECTION FEE wasipo weka inamadhara gani?
Hatari sana hiyo,siioni kwenye invoice,na tayari nimeshafanya malipo.kuna namna ya kurescue?kabla ya fine?Acha ikae tu kaka,
Hua ni US$ 300.00 (Tshs 675,000/=),
Gari isipokaguliwa huko ilikotoka (Japan) basi faini yake TBS watakuja kukudai zaidi ya 1mil na still gari utakagua,
Ofcoz kuna wauzaj wengine ukiwaambia kua Gari unaleta Tanzania hawawezi kukusafirishia bila hiyo Inspection
Namna ya ku rescue ipo sana,Hatari sana hiyo,siioni kwenye invoice,na tayari nimeshafanya malipo.kuna namna ya kurescue?kabla ya fine?
Ni beforward ndio nimefanya nao biasharaNamna ya ku rescue ipo sana,
Maana kama umelipia recently basi muda wa kuanza kukagua hizo bado sana,
Waweza kuilipia upya kisha akutumie Invoice ingine,
And infact issue sio kuweko kwenye Invoice, bali gari iliyokaguliwa hua wanatoa Certficate na hiyo ndiyo inayohusika. Kwa Japan hua ni EAA Company au JAAI Inspection nadhani.
Ila kabla hujafikia huko Jifanye kama wakati anakupa bei ulijua imejumuisha Inspection,
Muulize Supplier wako why huioni, au why hajaiandika,
Yaani usimwambie kua hujalipa halafu umsikie atasemaje,
Supplier ni nani huyo asiejua kua LAZIMA gari zijazo Tanzania zikaguliwe??
Ni sahihi mkuu.. Kama ndo kwa mara ya kwanza unafanya biashara hii online lazima uwe muoga.. Me nishanunua gari Beforward mara moja.. SBT ndo nina uzoefu nao... Ushauri wangu tafta mzoefu wa online business akuongoze..zaidi utaangukia pua
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
Befowars wanajua fika gari ikija Tanzania lazima ikaguliwe huko ilikotoka, fanya kama nlivokuelekeza pale juu uone itakuaje. Muulize mbona bei haijaandika Inspection.Ni beforward ndio nimefanya nao biashara
Chondechonde kwenye inspection usitumie EAA hao hawakagui gari kikamilifu chagua JEVIC ukishindwa JAAI nakushauri kutokana na uzoefu kwa yaliyonikutaHatari sana hiyo,siioni kwenye invoice,na tayari nimeshafanya malipo.kuna namna ya kurescue?kabla ya fine?
Utapigwa faini ndefu ambayo itakugharimu zaidi ya kulipia hiyo inspection.Mkuu hiyo INSPECTION FEE wasipo weka inamadhara gani?
Hiyo fine napigwa na nani?Utapigwa faini ndefu ambayo itakugharimu zaidi ya kulipia hiyo inspection.
Kuna option ya kuchagua Inspection company?Chondechonde kwenye inspection usitumie EAA hao hawakagui gari kikamilifu chagua JEVIC ukishindwa JAAI nakushauri kutokana na uzoefu kwa yaliyonikuta
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
Usijaribu weka mbali na watoto, utalia kama mtoto anavokunywa dawa chungu
Oky roughly kama gari Ni ya $2000 hizo garama zingine zinaweza kuipaisha mpaka sh ngapi mpaka naondoka nayo?
Wakikupigia na garama nyingine utajuta kwa wapenda vya bei chee. Kuanzia kulisafirisha, kodi ya gari lilitumika zaidi ya miaka 5 ni kubwa, muonekano wa picha ni tofauti na utapoliona live bado kulisajiri.Ndugu acha kumpotosha mwenzako tuna offisi hapa mjini wawezafika kwa uhakika
Yes option ipo japo inategemea unanunua gari lako kutokea kampuni gani maana kampuni nyingi ambazo magari yao yana ubora wa chini au duni hupenda kutumia EAA (no option) maana hawa huwa hawakagui gari inavyotakiwa wao wanajua kubandika stika tu!!! Ila makampuni ambayo yanafanya biashara kwa uaminifu hupenda kutumia wakaguzi ambao ni either JAAI au JEVIC au wengine bora zaidi lakini sio EAA!! kwa mfano kampuni ya trust wenye website ya www.japanesvehicles.com wao hutumia JAAI na magari yao ni bora kweli! huwezi linganisha na kampuni kama Real Motors au sijui Safari Direct!!!!!Kuna option ya kuchagua Inspection company?
Utatatibu wao uko salama sana na hakuna utapeli wa aina yoyote.
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli?
Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
Unataka kusema bei ya Vitz (2005) mfano ya $100, hadi kufikisha TZ, gharama yake itakuwa ni kubwa kuliko ukinunua showroom? Huyo wa showroom faida anapataje? Kama hujawahi kuagiza gari, soma na ujifunze kwa wengine. walioagiza.Wakikupigia na garama nyingine utajuta kwa wapenda vya bei chee. Kuanzia kulisafirisha, kodi ya gari lilitumika zaidi ya miaka 5 ni kubwa, muonekano wa picha ni tofauti na utapoliona live bado kulisajiri.
Inabidi unywe panado kama umeagiza bila kujua garama bola ununue yaliyoshoo room bongo