Mlumendo obeid
Member
- Sep 22, 2011
- 33
- 2
Habari wanajamii..
Nipo mbele yenu naomba ushauri ili niweze kufanya selection iliyo sahihi. Nasoma BA ya ECONOMICS nipo mwaka wa 3, natakiwa fanya selection kati ya hizi
1.AGRICULTURE ECONOMICS
2.INDUSTRIAL ECONOMICS
3.LABOUR ECONOMICS
4.NATURAL RESOURCES ECONOMICS.
Ipi yaweza kuwa sahihi kwa upande wa ajira?
Natanguliza shukrani