Wale mnaokuja dodoma stendi yahamishwa

GENERARY

Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
95
Reaction score
17
Stendi kuu ya mkoa Dodoma yahamishiwa nzuguni (nanenane) na ile ya daladala imesogezwa hapo stendi ya mkoa. kuna usumbufu kidogo, huenda hali hiyo itarekebishwa na wahusika. poleni wasafiri wenzangu
 
dah xa walisema kwamba wa2 wataripoti jamuhuri stadium au niaje tena
 
aaah vipi wamebadilisha location au inakuaje???
 
kwa muda au ndo moja kwa moja
 
Nane nane kule ni stendi tu so kama mtu unatoka mikoani pale unapanda gar ya kuelekea mjini,hiyo ni stend kuamishwa ila usajili ni jamuuri hapa watu hawajaelewa kwa kujua chuo kimeamisha sehemu ya usaili
 
xaxa vp kuhusu kutoka hapo jamuhuri kwenda chuoni kutakua na mabasi ya chuo au niaje
 
Whats up JF? glad to inform u that the registration venue has been shifted from JAMHURI STADIUM to RESPECTIVE COLLEGES
More information,pls visit UDOM WEBSITE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…