Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nane nane kule ni stendi tu so kama mtu unatoka mikoani pale unapanda gar ya kuelekea mjini,hiyo ni stend kuamishwa ila usajili ni jamuuri hapa watu hawajaelewa kwa kujua chuo kimeamisha sehemu ya usaili
mbona siwaelewi? Mtoa mada anaongelea stand kuu kuhamishwa nyie mnaongelea usaili. Wapi na wapi?xaxa vp kuhusu kutoka hapo jamuhuri kwenda chuoni kutakua na mabasi ya chuo au niaje
nafikiri baada ya usaili utapanda daladala kwenda chuoxaxa vp kuhusu kutoka hapo jamuhuri kwenda chuoni kutakua na mabasi ya chuo au niaje