Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

Wale mnaotafuta jinsi ya kujiunga na mpango wa Lottar Green Card Njoo hapa Bureee!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha na sikuwatoa pesa! Wanakusanya pesa nyingi unaweza kukuta hata katika walioomba asipata hata mtu mmoja mimi binafsi nilishaomba na majibu nikaleetewa ila sikubahatika !Hawa watu wanawaibia watanzania masikini wanaotafuta maisha na kijitafuta! Hii siyo kuona fursa bali ni wizi nashangaa Wizara ya Habari na Wizara Mambo ya Nje wameshindwa kutoa Elimu kwa jinsi ya upatikanaji wa Lottary Green Card! Walitakiwa kuwakataza hawa wenye Radio hii kuwauzia wananchi ni kuwaibia!! Kwa sababu hawana Grantii yakuwa watapata hiyo Visa! WIZARA YA HABARI KWA KUSHIRIKIANA NA TCRA wazue haraka Hii Radio na ikiwezekana wawarudishie pesa zao kwakuwa wanawatapeli! SASA MWENYE KUTAKA LOTTARY GREEN CARD BASI NJOO HAPA BOFYA HAPA ANZA KUJAZA Usiibiwe!
 
Muda wake ushapita, wasubiri tena October mwakani
 
Back
Top Bottom