Toyota Prado mpyaa ipo sokoni
Km 99185
Cc 2693
Bei: 25M
Location😀ar es salaam
Haina tatizo lolote
Vibali vyote vipo
Piga:0659133415
uzi wako umesema unauza magari used,,, hii gari hapo unasema ni mpya...Acha janja janja mzee..😳😳
Gari ipo wapi? na vp bei inapungua?Toyota Allex
Km:85,000
Bei: 9M
Vibali vyote vipo
Nakutafutia mkuuNahitaji Toyota Crown Athlete series 4WD
ImeshachukuliwaGari ipo wapi? na vp bei inapungua?
hivi hizi gari kwa nini be yake ndefu sana/.?Suzuki Vitara ipo sokoni
Ni ya kampuni
Year of make:2009
Bei:22,000,000/= negotiqble
Piga:0659133415
mkuu azima cameraa maana hizo picha zina tuumiza machoJamani wale mnaotaka magari used kwa bei nafuu karibuni Sana. Pia kama unataka kuuza gari lako wasiliana nami ili upate mteja haraka ila hakikisha jina la kadi ya gari vinaendana na kitambulisho chako ili kuepuka ulaghai.
Mawasiliano:0659133415
Tembelea ukurasa wa facebook😀alali wa magari used
Noah Old model ipo sokoni
Haina tatizo lolote
Bei:7.9M
View attachment 711529View attachment 711530View attachment 711531View attachment 711532
Kweli kabisaMkuu watu ambao hawana pesa ya kununua huwa ni wasumbufu sana! Mara ohh weka sijui picha ya hiki , mara kile,
Hivi uliona wap gari inakaguliwa kwa kuangalia picha , anaetaka aje aone gar live . Upuuz mtupu wakat mtu ata laki hana!!!