Wale mnaotaka magari used kwa bei nafuu karibuni sana

Toyota Prado mpyaa ipo sokoni
Km 99185
Cc 2693
Bei: 25M
Location😀ar es salaam
Haina tatizo lolote
Vibali vyote vipo
Piga:0659133415
 
Nahitaji Toyota Crown Athlete series 4WD
 
mkuu azima cameraa maana hizo picha zina tuumiza macho
 
Mkuu watu ambao hawana pesa ya kununua huwa ni wasumbufu sana! Mara ohh weka sijui picha ya hiki , mara kile,
Hivi uliona wap gari inakaguliwa kwa kuangalia picha , anaetaka aje aone gar live . Upuuz mtupu wakat mtu ata laki hana!!!
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…