We kweli Bashite yani unasema simu ina kila kitu unaipata kwa laki 7 wakati hzo zenu za misifa ikiwa na kila kitu unaipata kwa 1m na kuendelea halafu unaponda haya endelea kununua jinaElfu ishirini unapata tecno,na simu zao za bei hazizidi laki 7 hata itoke leo na iwe na kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Message Sent Mkuu.Huu ujumbe uwafikie nyinyi mnaotuponda na kushangaa tunaotumia Tecno.
Mkuu ukiwauliza hio samsung ya bei kubwa ina nini kuliko hii tecno wanayoiponda hawana jibu! Atakwambia BASI TU SIIPENDI.We kweli Bashite yani unasema simu ina kila kitu unaipata kwa laki 7 wakati hzo zenu za misifa ikiwa na kila kitu unaipata kwa 1m na kuendelea halafu unaponda haya endelea kununua jina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo Samsung j version unaifananisha na tecno w5 hebu acheni dharau za kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna mkuu, wengine tupo samsung za kawaida tu hizi version za J
Kiukweli kama sina hela ya kununua samsung ni heri nitumie kitorch ila sio tecno.
Ila siwezi mdharau mtumiaji wa tecno maana heshima haipimwi kwa vitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia Windows Phone, Nokia Lumia 925, vipi si utaniheshimu eeh!Mimi mwanaume akitumia Tecno heshima yake inashuka [emoji2]
Binafsi ninaponunua simu kitu cha kwanza ni ubora na uimara wa display, je hizo tecno zina corning gorilla glass? Pia zinaonyesha vizuri maana asilimia kubwa naona vioo vyake kama vimemwagiwa maji, zinaishia kuniumiza macho tuMkuu ukiwauliza hio samsung ya bei kubwa ina nini kuliko hii tecno wanayoiponda hawana jibu! Atakwambia BASI TU SIIPENDI.
Simu ina kila kitu,inakaa na chaji, bei rafiki naiachaje na kipindi hichi cha Magu ?uzuri wake kama mimi hzo brand za misifa nishatumia sana aisee sijutii kuwa na technoMkuu ukiwauliza hio samsung ya bei kubwa ina nini kuliko hii tecno wanayoiponda hawana jibu! Atakwambia BASI TU SIIPENDI.
Hii ya kioo kumwagiwa maji nakusikia wewe. BTW sijui kiundani ufundi wa simu,ila nilichokihitaji kwenye simu nimepata kwenye hio Tecno. Sijui wangapi humu wakienda kununua simu wanauliza hio corning chimpanzee glass....🙁Binafsi ninaponunua simu kitu cha kwanza ni ubora na uimara wa display, je hizo tecno zina corning gorilla glass? Pia zinaonyesha vizuri maana asilimia kubwa naona vioo vyake kama vimemwagiwa maji, zinaishia kuniumiza macho tu
Kama kuna kitu nahitaji kwenye simu kisingekuwepo kwenye Tecno ningenunua brand ingine lakini sioni ninachokosa.Simu ina kila kitu,inakaa na chaji, bei rafiki naiachaje na kipindi hichi cha Magu ?uzuri wake kama mimi hzo brand za misifa nishatumia sana aisee sijutii kuwa na techno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Corning gorilla glass ni protection ya kioo yaani hata ukiigonga simu kwa ncha ya kisu kwenye kioo hakiwezi ku clack kirahisi, pia kuhusu kioo kumwagiwa maji chukua tecno na simu yoyote ile iwe Nokia , samsung, n.k. Kisha angalia ipi itakuwa inaonyesha vizuri, kazini kuna jamaa huwa namshangaza ana Tecno w4 yenye camera ya Megapixel 8 na mimi nina Nokia Lumia 925 yenye Megapixel 8 ila cha ajabu simu yangu inatoa picha nzuri kuliko yakeHii ya kioo kumwagiwa maji nakusikia wewe. BTW sijui kiundani ufundi wa simu,ila nilichokihitaji kwenye simu nimepata kwenye hio Tecno. Sijui wangapi humu wakienda kununua simu wanauliza hio corning chimpanzee glass....🙁
Boss....nishamiliki hizo simu za top end. Kuvinjika ni rahisi sana, sio Tecno wala iphone. Infact niliamua kununua Tecno kwasababu nimeshapasua simu za bei na mwisho ilikuwa nilipopasua Tablet ambayo ilikuwa na miezi michache tu, tangu siku hio nimeapa sinunui simu ya bei mbaya as long as napata app ninazotumia.Mkuu, Corning gorilla glass ni protection ya kioo yaani hata ukiigonga simu kwa ncha ya kisu kwenye kioo hakiwezi ku clack kirahisi, pia kuhusu kioo kumwagiwa maji chukua tecno na simu yoyote ile iwe Nokia , samsung, n.k. Kisha angalia ipi itakuwa inaonyesha vizuri, kazini kuna jamaa huwa namshangaza ana Tecno w4 yenye camera ya Megapixel 8 na mimi nina Nokia Lumia 925 yenye Megapixel 8 ila cha ajabu simu yangu inatoa picha nzuri kuliko yake
Itakuwa umemiliki jamii ya lumia 620 wewe, maana hiyo ndo nimeshapasua zaidi ya mara 4 mpaka nimempa dogo anatumia, baada ya hapo simu zote ninazomiliki sijawahi pasua kioo, maana mimi ndo tatizo langu lilipo kulingana na kazi zangu huwa sikawii kuvunja glassBoss....nishamiliki hizo simu za top end. Kuvinjika ni rahisi sana, sio Tecno wala iphone. Infact niliamua kununua Tecno kwasababu nimeshapasua simu za bei na mwisho ilikuwa nilipopasua Tablet ambayo ilikuwa na miezi michache tu, tangu siku hio nimeapa sinunui simu ya bei mbaya as long as napata app ninazotumia.
Kwahio sioni huo u-special wa vioo kwenye hizo simu za bei ghali.
Hivi man city ipo London ee?Iyo tekno ni special kwa hao man city tu hapo EPL .....naona wamewageuza kuwa mabalozi wao hapo London
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Ulanzi unaongeza nguvu za kiume[emoji123] [emoji123]Duh...anyway wengine ulanzi ni tamu kuliko heineken
Badili iwe fursaKwahiyo Mwanamume kumbe nina Fursana?
Lazima ishuke kwa sababu watumia tecno siyo madangaMimi mwanaume akitumia Tecno heshima yake inashuka [emoji2]