Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Kabisa aisee. Wacha tutumie tu mwisho wa siku mwenye iphone sijui samsung wote tuna app ya JF inayofanana. [emoji23] [emoji23]
Kama wanaona tunatia takataka basi wa IPhone wakawekewe jukwaani lao. Kama hawajatufata team wereva
 
Hahaaaa. Na ikatokea hivyo mtoto mzuri mwenzangu mbona tutatafutana na tusionane.
Nakuambia hivi,huko kwenye jukwaa lao watabaki 20 na watakuja kuomba kucheza na sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Im sorry...! Sijawahi kutumia tecno na sitokuja kutumia tecno!
 
Halafu nimegundua mleta mada ni mchochezi nnaimani hatumii tecno ila anataka kuchochea vita tu hahaha!
 
Maisha haya ya sasa mtu hutumia kile anachojaaliwa tu. Iwe Tecno iwe Samsung na si vizuri kudharauliana aisee.

[emoji56][emoji94][emoji109]with my weather[emoji23][emoji23]
 
Mchicha wa 20,000/= mpaka laki 7 unauzwa wapi? Acha ujinga wewe. Una simu ya 1.5 M afu unaishi kwa Shemeji then unawananga watumia tecno?
Acha povu....Samsung simu yao dhaifu kabisa ni elfu 50. Tecno ni elfu 20 vina keleleeee na ringtone za ajabu ajabu.

Mwanaume kwanini utumie Tecno?

Sukari Yenu
 
Halafu nimegundua mleta mada ni mchochezi nnaimani hatumii tecno ila anataka kuchochea vita tu hahaha!
Mkuu natumia Tecno moja mwaka wa nne huu! Tecno P6
 
Acha povu....Samsung simu yao dhaifu kabisa ni elfu 50. Tecno ni elfu 20 vina keleleeee na ringtone za ajabu ajabu.

Mwanaume kwanini utumie Tecno?

Sukari Yenu
Kwahio ukitumia Tecno uanaume unayeyuka?
 
Back
Top Bottom