Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Okay. Ni jambo la kumshukuru allah pacha.Namshukuru Mungu nmeshapona pacha wangu
Uwe na siku njema pacha. [emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. Ni jambo la kumshukuru allah pacha.Namshukuru Mungu nmeshapona pacha wangu
Na kwako pia Mamy [emoji7] [emoji7]Okay. Ni jambo la kumshukuru allah pacha.
Uwe na siku njema pacha. [emoji8]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Na kwako pia Mamy [emoji7] [emoji7]
Kama wanaona tunatia takataka basi wa IPhone wakawekewe jukwaani lao. Kama hawajatufata team werevaKabisa aisee. Wacha tutumie tu mwisho wa siku mwenye iphone sijui samsung wote tuna app ya JF inayofanana. [emoji23] [emoji23]
Hahaaaa. Na ikatokea hivyo mtoto mzuri mwenzangu mbona tutatafutana na tusionane.Kama wanaona tunatia takataka basi wa IPhone wakawekewe jukwaani lao. Kama hawajatufata team wereva
MWANAUME WA KWELI HUTUMIA DUME KONDOMU
Nakuambia hivi,huko kwenye jukwaa lao watabaki 20 na watakuja kuomba kucheza na sisi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Na ikatokea hivyo mtoto mzuri mwenzangu mbona tutatafutana na tusionane.
NafuuVipi huawei
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha povu....Samsung simu yao dhaifu kabisa ni elfu 50. Tecno ni elfu 20 vina keleleeee na ringtone za ajabu ajabu.Mchicha wa 20,000/= mpaka laki 7 unauzwa wapi? Acha ujinga wewe. Una simu ya 1.5 M afu unaishi kwa Shemeji then unawananga watumia tecno?
Samsung za 30,000/= zipo.Acha povu....Samsung simu yao dhaifu kabisa ni elfu 50. Tecno ni elfu 20 vina keleleeee na ringtone za ajabu ajabu.
Mwanaume kwanini utumie Tecno?
Sukari Yenu
Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wewe Unapenda Kavu Kavu EenheeWe co mzima khaaaa