Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Sababu inayokusumbua mm naijua na utazidi kuichukia tecno .sababu ni uwezo mkuwa iliyonayo kwa bei ya chini .fikiria MTU unanunua simu la mil unakutana na mwenye tecno la laki 3 ila imeizidi yako ya mil kwenye kamera lazima uichukie tecno
Wala hata sio sababu hiyo
 
Hao Waongo Tekno Ndo Baba Yao Kwasasa Mie Nawaambia Kwa Wale Wapenda Show Off Wakatafte Tekno Canno Cx Ina Kamera HD mpaka sisimizi anaonekana kamera ya mbele 16MP Na yanyuma 32MP
Yeah uko sahihi, lakini wataalamu WA simu wanasema ubora WA simu sio kwenye megaPixel pekee. Kuna kitu tecno wanakosa HAPO HAPO mamba yao iko juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tecno kwa kutunza chaji zinajitahidi sana kuna tecno l8 duuh inajitahidi balaa uwezo wa betri ni 5050mAh

Sent using Jamii Forums mobile app
L9 plus upgrade ya L8. Ila haina 4G.
Pia uwezo mdogo WA Processor za tecno ndio una boost uwezo WA simu kukaa na chaji zaidi. Ukilinganisha na Samsung. Samsung wanatoa simu zenye speed kubwa. Hazichemki sana, na wanatoa update.
Kwa mfano sasa hivi kuna Android 7 Naugat mpya.
Kwenye tecno akikuuzia, ndio mumeshaachana, sahahu kuhusu update. Ukipata Android 6 au 5 haitakaa ipate update.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watumiaji wengi wa simu matumizi yao ni whatsapp,calls,sms,photo,videos. Sasa hizo tofauti kwenye speed ya processor au sijui adroid seven kwa mtumiaji wa kawaida ni insignificant. Na wengi hapa wanaosema hawapendi tecno sio kwasababu ya hizo technical differences, wengi ni ile dhana ya kuwa tecno=mchina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…