Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,673
- 1,875
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hata sio sababu hiyoSababu inayokusumbua mm naijua na utazidi kuichukia tecno .sababu ni uwezo mkuwa iliyonayo kwa bei ya chini .fikiria MTU unanunua simu la mil unakutana na mwenye tecno la laki 3 ila imeizidi yako ya mil kwenye kamera lazima uichukie tecno
hayaUna tatizo la akili basi
Tofautisha dharau na kutoipenda...ndiyo maana lowasa alisema elimu elimu elimu....kwa hiyo mtu kama hukipendi ndiyo umekidharau?Hyo Samsung j version unaifananisha na tecno w5 hebu acheni dharau za kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah uko sahihi, lakini wataalamu WA simu wanasema ubora WA simu sio kwenye megaPixel pekee. Kuna kitu tecno wanakosa HAPO HAPO mamba yao iko juu.Hao Waongo Tekno Ndo Baba Yao Kwasasa Mie Nawaambia Kwa Wale Wapenda Show Off Wakatafte Tekno Canno Cx Ina Kamera HD mpaka sisimizi anaonekana kamera ya mbele 16MP Na yanyuma 32MP
L9 plus upgrade ya L8. Ila haina 4G.Ila tecno kwa kutunza chaji zinajitahidi sana kuna tecno l8 duuh inajitahidi balaa uwezo wa betri ni 5050mAh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana niliyokuwa natumia ilizama kwenye maji so kuna mtu aliniazima kwa siku chache niwe hewani tuAisee uko vizuri sana. Kwahio uliinunua ukatumis wiki mbili ukaona haifai, ukachukua S8 au iphone7?
Hahahahaha exactly[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]![]()
Kama huyu
Watumiaji wengi wa simu matumizi yao ni whatsapp,calls,sms,photo,videos. Sasa hizo tofauti kwenye speed ya processor au sijui adroid seven kwa mtumiaji wa kawaida ni insignificant. Na wengi hapa wanaosema hawapendi tecno sio kwasababu ya hizo technical differences, wengi ni ile dhana ya kuwa tecno=mchina!L9 plus upgrade ya L8. Ila haina 4G.
Pia uwezo mdogo WA Processor za tecno ndio una boost uwezo WA simu kukaa na chaji zaidi. Ukilinganisha na Samsung. Samsung wanatoa simu zenye speed kubwa. Hazichemki sana, na wanatoa update.
Kwa mfano sasa hivi kuna Android 7 Naugat mpya.
Kwenye tecno akikuuzia, ndio mumeshaachana, sahahu kuhusu update. Ukipata Android 6 au 5 haitakaa ipate update.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mbaya fursana kunywewa LondonIphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
iphone=dompoIphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fvck you...!!
sent from my Samsung A8
brand loyaltyUnafaidika nini kutumia simu ilio kwenye top ten duniani?
mkuu unatusema wanayanga
kwani wewe ni mwalimu
Nenda lile duka la J... utazikuta ila zimebaki chache. [emoji1]Kwahapa UK Sijawahi ona tecno