wale mnataka kuaplai muslim university of morogoro mwisho 31.7.2013

wale mnataka kuaplai muslim university of morogoro mwisho 31.7.2013

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Kwa wale mnaotaka kutuma maombi Muslim University of Morogoro, muda wa mwisho wa kutuma maombi ni 31 Julai, 2013.

Hakuna gharama za kufanya application, unachotakiwa kufanya ni kujaza form na kutuma kwao, na wao hawapitii TCU, kwa hiyo application zote zinatumwa kwao moja kwa moja, kwa maelezo zaidi tembelea Muslim University of Morogoro
 
Kwanini hawapo TCU.

Muslim university of Morogoro hawatumii CAS, hivyo apply moja kwa moja chuoni kwao.

Kutumia CAS ni lazima kwa vyuo vya serikali ila si lazima kwa vyuo vya binafsi
 
Back
Top Bottom